Thursday, January 17, 2019
Swahili > Video > Wakulima wadogo nchini Tanzania waelezea changamoto zao

Wakulima wadogo nchini Tanzania waelezea changamoto zao

Veronica Sophu mwenyekiti wa Mviwata akielezea baadhi ya changamoto za wakulima wadogo nchini Tanzania. Mwenyekiti huyo ameyaeleza hayo katika mkutano wa 22 wa wanachama wa kila mwaka unaoendelea mjini Morogoro.